Thursday, December 12, 2013

COLOUR OF EVENTS/HAIR STYLE/MAIDS WA MAANA NA WANAOENDANA NI KILA KITU KATIKA SHUGHULI

 WENGI HUWA WANAMIPANGO MIZURI SANA KATIKA KUANDAA SHUGHULI LAKINI HUJIKUTA WAKIKWAMA KATIKA MAENEO FLANI FLANI NA KUSHINDWA KUFIKIA HATMA NZURI NA HASA KWENYE MATOKEO YA PICHA BAADA YA HARUSI/SEND OFF AMA SHEREHE NYINGINE YEYOTE.UMUHI WA AKINANANI WENAOTAKIWA KUWA WAPAMBE KWENYE SHUGHULI HUSAIDIA SANA KATIKA KUHAKIKISHA MWISHO WA SIKU UNAPATA KUMBUKUMBU NZURI.
SI KAMATI ZOTE HUWA ZINAJUA UMUHIMU WA KUWA NA WAPIGA PICHA WAZURI NA MARA NYINGI NI KWASABABU HUWA HAWAONI MCHANGO WA PICHA MWISHO WASIKU HUJIKUTA WANAPATA MATOKEO MABAYA YA SHUGHULI NZIMA.NIMUHIMU KUZINGATIA PICHA MAANA HIYO NDIYO KUMBUKUMBU YA MAANA NA MUHIMU ZAIDI MWISHO WA SHUGHULI YENU


No comments:

Post a Comment