Friday, February 21, 2014

SHEREHE ZA KUAGA MWILI WA ALIEKUWA MTANGAZAJI WA BBC KOMLA DUMOR ZITAANZA KESHO MAPEMA AMBAPO ZINATARAJIWA KWENDA KWA SIKU TATU HAPA NI BAADHI YA PICHA YA KINACHOENDELEA NCHINI GHANA KWA SASA

NCHINI GHANA MSIBA NI MOJA YA SHEREHE KUBWA SANA AMBAZO HUPEWA KIPAUMBELE KWA JAMII YA WATU WA GHANA SHEREHE ZAO HUCHUKUA ZAIDI YA MIEZI MIWILI HADI MITATU KATIKA KUANDAA MAZISHI NA KUTOA HESHIMA KWA MAREHEMU NI TAKRIBANI MWENZI UMEPITA SASA BAADA YA ALIEKUWA MTANGAZAJI WA BBC KOMLA DUMOR KUFARIKI DUNIA HUKO LONDON UINGEREZA TAREHE 18,JANUARY 2014


No comments:

Post a Comment