Saturday, April 12, 2014

KAMA HALI ITAENDELEA HIVI KWA SIKU NNE BASI HALI ITAKUWA MBAYA ZAIDI JIJINI DAR ES SALAAM

Changamoto kubwa ya miundombinu katika jiji ndiyo inayatia mashaka makubwa zaidi katika kipindi hiki cha mvua.mara nyingi mvua za mfululizo zinazonyesha jijini dar, huleta changamoto kubwa kwa miundo mbinu ambayo haiko imara sana na wakati mwingi kutonana na wakandarasi kuchelewa kukamilisha ujenzi wa miundombinu matoke mabaya zaidi hujitokeza katika kipindi hiki. No comments:

Post a Comment