Tuesday, November 4, 2014

LOVE: SHEREHE ZA HARUSI ZA WAAMERIKA WEUSI: Regina & Migue

 Wanandoa hawa walikutana kwa mara ya kwanza wakati Bwana Migue alipotembelea chuoni kwa Regina na na kundi lake la mziki wa Jazz wakati walipoondoka wakapeana namba za simu na usiku huo huo waliongea karibu usiku mzima, Cha kushangaza kila mmoja akapoteza namba za simu na kukawa hakuna mawasiliano tena na baada ya kupita miaka kadhaa wakakutana tena baada ya kukutana bwana Migue akatangaza ndoa. na ilichukua takribani mwezi mmoja kufunga ndoa.

                                                                  SWALI:
         Kwamuda mfupi wa namna hiyo inawezekana kupata ndoa iliyosahihi?
No comments:

Post a Comment