Thursday, October 25, 2012

LEO SAA TATU USIKU KATIKA THE MBONI SHOW EATV LEO KATIKA THE MBONI SHOW MADA NZIMA IKIWA WANAUME TEGEMEZI.KUTANA NAKIJANA ALIEWEKWA KINYUMBA NA JIMAMA NA MASTORY KIBAO ALIYOKUTANA NAYO KATIKA MAISHA, YOTE HAYO HAYO NA MENGINE ZAIDI NI KATIKA THE MBONI SHOW EATV PEKEE

 KUTANA NA MLEMAVU WA MACHO MWENYE NDOTO ZA KIMZIKI JINSI ALIVYOSHUSHA MAVOCALI YA MAANA YA WIMBO WA MSANII MAARUFU WA BONGO.YOTE HAYO UTAYAPATA KATIKA MY DREAM COME TRUE USIKU WA LEO

No comments:

Post a Comment