Wednesday, November 7, 2012

KUMBI ZA HARUSI ZINAVYONOGA ZIKIPAMBWA IPASAVYO..IWE NI ASUBUHI MCHANA JIONI AU USIKU.

 Hii nimeipenda:Kwa mnaoenda kuoa na kuolewa sio lazima mkariri kwamba Reception za harusi zenu lazima zifanyike usiku,hata asubuhi au mchana inapendeza pia...Jionee venue za mchana kweupeee-peee zinavyotokelezea.

Reception za  usiku nazo zina raha yake pia.

No comments:

Post a Comment