Monday, February 11, 2013

HII NI HATARI KWA KWELI

BREAKING NEWS: Kuna mapigano yanaendelea mkoani Geita hivi sasa kati ya Wakristo na Waislam kufuatia wachungaji wa kanisa la AIC kutangazia waumini wake kutokula nyama inayochinjwa na waislam. Habari zinasema kwamba leo wakristo wamefungua machinjio yao eneo la Buselesele na kuanza kuuza nyama ambayo imerejezewa na waislam kama "nyama haramu"

No comments:

Post a Comment