Wednesday, October 30, 2013

MGANGA AKUTWA NA KIGANJA CHA BINADAMU AKIKIUZA KWA MILIONI 100 HUKO MWANZAKATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA MTU MMOJA JIJINI MWANZA ANADAWA KUKAMATWA NA KIGANJA CHA BINADAMU AKIWA NANAJIANDAA KUUZA KWA MTEJA WAKE KWA KIASI CHA SHILINGI MILIONI 100,
WASHUKIWA WALIKAMATWA JANA JIJINI MWANZA JIRANI NA UWANJA WA NDEGE
AMBAPO BAADA YA UPEKUZI WA KINA MTEJA ALIKUTWA NA KIASI HICHO CHA FEDHA NA MGANGA ALIKUTWA NA KIGANJA CHA BINADAMU HUKU KIKIWA KINAVUJA DAMU NA HUKU KIKIWA KIMEFUNGIWA TUNGULI PAMOJA NA NYWELE ZA BINADAMU
IKUMBUKWE KUWA KANDA YA ZIWA KUMEKUWA NA MATUKIO MENGI YA MAUAJI NA AMBAYO KWA KIPINDI KIREFU YAMEKUA YAKIHUSISHWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA,KAMA MAUAJI NA KUCHUKULIWA VIUNGO VYA WATU WENYE ALBINISM,MAUAJI YA VIKONGWE NA KADHARIKA.......PIA NI MAENEO YENYE WAGANGA WENGI WA KIENYEJI AMBAPO KATIKA TARAFA YA NYANYWALE YENYE VIJIJI 28 INAWAGANGA WA KIENYEJI 126 WANAOFANYA KAZI KATIKA TARAFA HIYO, HII INAONYESHA MOJA KWA MOJA KUWA IMANI ZA KISHIRIKINA KATIKA ENEO HILO NI KUBWA KURIKO IMANI ZINGINE 

No comments:

Post a Comment