Friday, July 4, 2014

TIMU YA ALGERIA YAFANYIWA MAPOKEZI MAKUBWA NCHINI ALGERIA BAADA YA KUTOLEWA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA KATIKA HATUA MUHIMU


Wakati michuano ya kombe la Dunia ikiendelea nchini Brazil, timu ya taifa ya Algeria imerejea nchini humo na kupewa mapokezi makubwa kwa mashabiki wa soka nchini Algeria,

Timu hiyo ambayo ilifanikiwa kupita nakuingia katika hatua muhimu ya mashindano ya kombe la dunia katika hatua ya mtoana kabla ya kinyang'anyiro cha robo fainali za kombe la dunia iliweka historia ya taifa hilo iliyokuwa haijawahi kufikiwa na Taifa hilo.


No comments:

Post a Comment